2 Fal. 16:5 SUV

5 Hapo ndipo akakwea Resini mfalme wa Shamu pamoja na Peka mwana wa Remalia mfalme wa Israeli juu ya Yerusalemu ili wapigane; wakamhusuru Ahazi, ila hawakuweza kumshinda.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 16

Mtazamo 2 Fal. 16:5 katika mazingira