2 Fal. 16:6 SUV

6 Wakati huo Resini mfalme wa Shamu akawarudishia Washami Elathi, akawafukuza Wayahudi kutoka Elathi; nao Washami wakaja Elathi, wakakaa humo hata leo.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 16

Mtazamo 2 Fal. 16:6 katika mazingira