2 Fal. 16:7 SUV

7 Basi Ahazi akatuma wajumbe kwa Tiglath-pileseri mfalme wa Ashuru, akasema, Mimi ni mtumishi, tena mwana wako; kwea, ukaniokoe mkononi mwa mfalme wa Shamu, na mkononi mwa mfalme wa Israeli, walioniinukia.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 16

Mtazamo 2 Fal. 16:7 katika mazingira