2 Fal. 17:14 SUV

14 Walakini hawakutaka kusikia, bali walifanya shingo zao kuwa ngumu, kama shingo za baba zao, wasiomwamini BWANA, Mungu wao.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 17

Mtazamo 2 Fal. 17:14 katika mazingira