16 Wakaziacha amri zote za BWANA, Mungu wao, wakajifanyizia sanamu za kusubu, yaani, ndama mbili, wakafanya na Ashera, wakaliabudu jeshi lote la mbinguni, wakamtumikia Baali.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 17
Mtazamo 2 Fal. 17:16 katika mazingira