18 Kwa hiyo BWANA akawaghadhibikia Israeli sana, akawahamisha mbali na uso wake; wala hapana aliyesalia ila kabila ya Yuda peke yake.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 17
Mtazamo 2 Fal. 17:18 katika mazingira