20 Basi BWANA akakikataa kizazi chote cha Israeli, akawatesa, na kuwatia katika mikono ya watu wenye kuwateka nyara, hata alipokwisha kuwatupa, watoke machoni pake.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 17
Mtazamo 2 Fal. 17:20 katika mazingira