2 Fal. 17:21 SUV

21 Maana aliwatenga mbali Israeli na nyumba ya Daudi; nao wakamfanya Yeroboamu mwana wa Nebati kuwa mfalme; Yeroboamu akawavuta Israeli wasimfuate BWANA, akawakosesha kosa kubwa.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 17

Mtazamo 2 Fal. 17:21 katika mazingira