32 Basi hivyo wakamcha BWANA, nao wakijifanyia wengine wao kuwa makuhani wa mahali pa juu, ambao waliwafanyia dhabihu katika nyumba za mahali pa juu.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 17
Mtazamo 2 Fal. 17:32 katika mazingira