13 Ikawa katika mwaka wa kumi na nne wa kumiliki kwake mfalme Hezekia, Senakeribu, mfalme wa Ashuru, akapanda ili kupigana na miji yote ya Yuda yenye boma, akaitwaa.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 18
Mtazamo 2 Fal. 18:13 katika mazingira