2 Fal. 18:18 SUV

18 Na walipokwisha kumwita mfalme, wakatokewa na Eliakimu, mwana wa Hilkia, aliyekuwa msimamizi wa nyumba ya mfalme, na Shebna, mwandishi, na Yoa, mwana wa Asafu, mwenye kuandika tarehe.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 18

Mtazamo 2 Fal. 18:18 katika mazingira