2 Fal. 18:19 SUV

19 Yule amiri akawaambia, Haya, mwambieni Hezekia, kusema, Mfalme mkuu, mfalme wa Ashuru, asema hivi, Ni tumaini gani hili unalolitumainia?

Kusoma sura kamili 2 Fal. 18

Mtazamo 2 Fal. 18:19 katika mazingira