2 Fal. 18:20 SUV

20 Wewe wasema, lakini ni maneno yasiyo na maana, kwamba, Lipo shauri na zipo nguvu kwa vita hivi. Basi, unamtumaini nani hata ukaniasi mimi?

Kusoma sura kamili 2 Fal. 18

Mtazamo 2 Fal. 18:20 katika mazingira