2 Fal. 19:15 SUV

15 Naye Hezekia akaomba mbele za BWANA, akasema, Ee BWANA, Mungu wa Israeli, ukaaye juu ya makerubi, wewe, naam, wewe peke yako, ndiwe Mungu wa falme zote za dunia; wewe ndiwe uliyeziumba mbingu na nchi.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 19

Mtazamo 2 Fal. 19:15 katika mazingira