16 Tega sikio lako, Ee BWANA, usikie; fumbua macho yako, Ee BWANA, uone; uyasikie maneno ya Senakeribu, ambayo amemtuma mtu aje nayo ili kumtukana Mungu aliye hai.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 19
Mtazamo 2 Fal. 19:16 katika mazingira