3 Wakamwambia, Hezekia asema hivi, Siku hii ni siku ya dhiki, na aibu, na matukano; maana watoto wa tayari kuzaliwa, wala hapana nguvu za kuwazaa.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 19
Mtazamo 2 Fal. 19:3 katika mazingira