2 Akamtuma Eliakimu aliyekuwa msimamizi wa nyumba yake na Shebna, mwandishi, na wazee wa makuhani, wamevikwa nguo za magunia, waende kwa Isaya nabii, mwana wa Amozi.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 19
Mtazamo 2 Fal. 19:2 katika mazingira