1 Ikawa mfalme Hezekia aliposikia hayo, alizirarua nguo zake, akajivika nguo za magunia, akaingia katika nyumba ya BWANA.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 19
Mtazamo 2 Fal. 19:1 katika mazingira