2 Fal. 2:4 SUV

4 Eliya akamwambia, Tafadhali, kaa hapa, Elisha; maana BWANA amenituma niende mpaka Yeriko. Akasema, Kama BWANA aishivyo, na roho yako iishivyo, sitakuacha. Nao wakafika Yeriko.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 2

Mtazamo 2 Fal. 2:4 katika mazingira