2 Fal. 2:5 SUV

5 Basi wana wa manabii, waliokuwako Yeriko, wakamkaribia Elisha, wakamwambia, Je! Unajua ya kuwa BWANA atamwondoa bwana wako leo, asiwe mkubwa wako? Akajibu, Naam, najua, nyamazeni.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 2

Mtazamo 2 Fal. 2:5 katika mazingira