6 Eliya akamwambia, Tafadhali kaa hapa; maana BWANA amenituma niende mpaka Yordani. Akasema, Kama BWANA aishivyo, na roho yako iishivyo, sitakuacha. Wakaendelea mbele wote wawili.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 2
Mtazamo 2 Fal. 2:6 katika mazingira