2 Fal. 20:1 SUV

1 Siku hizo Hezekia akaugua, akawa katika hatari ya kufa. Isaya, nabii, mwana wa Amozi, akamjia akamwambia, BWANA asema hivi, Tengeza mambo ya nyumba yako; maana utakufa, wala hutapona.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 20

Mtazamo 2 Fal. 20:1 katika mazingira