2 Fal. 20:14 SUV

14 Ndipo Isaya nabii akamwendea mfalme Hezekia, akamwambia, Wasemaje watu hawa? Nao wametoka wapi kuja kwako? Hezekia akasema, Wametoka katika nchi iliyo mbali, yaani Babeli.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 20

Mtazamo 2 Fal. 20:14 katika mazingira