15 Ndipo akasema, Wameona nini nyumbani mwako? Hezekia akajibu, Vitu vyote vilivyomo nyumbani mwangu wameviona; hapana kitu nisichowaonyesha katika hazina zangu.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 20
Mtazamo 2 Fal. 20:15 katika mazingira