2 Fal. 20:19 SUV

19 Ndipo Hezekia akamwambia Isaya, Neno la BWANA ulilolinena ni jema. Tena akasema, Je! Sivyo, ikiwapo amani na kweli katika siku zangu?

Kusoma sura kamili 2 Fal. 20

Mtazamo 2 Fal. 20:19 katika mazingira