2 Fal. 20:20 SUV

20 Basi mambo yote ya Hezekia yaliyosalia, na ushujaa wake wote, tena alivyolifanya birika na mfereji, akaleta maji ndani ya mji, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Yuda?

Kusoma sura kamili 2 Fal. 20

Mtazamo 2 Fal. 20:20 katika mazingira