2 Fal. 20:8 SUV

8 Hezekia akamwambia Isaya, Je! Kutakuwa na ishara gani ya kwamba BWANA ataniponya, nami siku ya tatu nitapanda nyumbani kwa BWANA.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 20

Mtazamo 2 Fal. 20:8 katika mazingira