9 Isaya akamwambia, Jambo hili litakuwa ishara kwako, itokayo kwa BWANA, ya kwamba BWANA atalifanya neno hilo alilolinena; je! Kivuli kiendelee madaraja kumi, au kirudi nyuma madaraja kumi?
Kusoma sura kamili 2 Fal. 20
Mtazamo 2 Fal. 20:9 katika mazingira