2 Fal. 21:11 SUV

11 Kwa sababu Manase mfalme wa Yuda amefanya machukizo haya, na kutenda vibaya kuliko yote waliyoyatenda Waamori, waliokuwa kabla yake, naye akawakosesha Yuda kwa sanamu zake;

Kusoma sura kamili 2 Fal. 21

Mtazamo 2 Fal. 21:11 katika mazingira