2 Fal. 21:12 SUV

12 kwa sababu hiyo BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Angalia, naleta mabaya juu ya Yerusalemu na juu ya Yuda, hata kila mtu asikiaye, masikio yake yatawasha yote mawili.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 21

Mtazamo 2 Fal. 21:12 katika mazingira