2 Fal. 21:17 SUV

17 Basi mambo yote ya Manase yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, na kosa lake alilolikosa, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Yuda?

Kusoma sura kamili 2 Fal. 21

Mtazamo 2 Fal. 21:17 katika mazingira