18 Manase akalala na babaze, akazikwa katika bustani ya nyumba yake mwenyewe, yaani, bustani ya Uza. Na Amoni mwanawe akatawala mahali pake.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 21
Mtazamo 2 Fal. 21:18 katika mazingira