2 Fal. 21:19 SUV

19 Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala; akatawala miaka miwili huko Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Meshulemethi, binti Haruzi wa Yotba.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 21

Mtazamo 2 Fal. 21:19 katika mazingira