18 Lakini yule mfalme wa Yuda, aliyewatuma ninyi kumwuliza BWANA, mtamwambia hivi, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Kwa habari ya maneno yale uliyoyasikia,
Kusoma sura kamili 2 Fal. 22
Mtazamo 2 Fal. 22:18 katika mazingira