2 Fal. 22:17 SUV

17 kwa sababu wameniacha mimi, wameifukizia uvumba miungu mingine, ili wapate kunikasirisha kwa kazi yote ya mikono yao; kwa hiyo hasira yangu itawaka juu ya mahali hapa, isizimike.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 22

Mtazamo 2 Fal. 22:17 katika mazingira