2 Fal. 22:16 SUV

16 BWANA asema hivi, Tazama, mimi nitaleta uovu juu ya mahali hapa, na juu yao wakaao hapa, naam, maneno yote ya kitabu alichokisoma mfalme wa Yuda;

Kusoma sura kamili 2 Fal. 22

Mtazamo 2 Fal. 22:16 katika mazingira