8 Naye Hilkia, kuhani mkuu, akamwambia Shafani, mwandishi, Nimekiona kitabu cha torati katika nyumba ya BWANA. Hilkia akampa Shafani kile kitabu, naye akakisoma.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 22
Mtazamo 2 Fal. 22:8 katika mazingira