2 Fal. 22:9 SUV

9 Shafani mwandishi akamwendea mfalme, akamletea mfalme habari tena, akasema, Watumishi wako wamezitoa zile fedha zilizoonekana ndani ya nyumba, nao wamewakabidhi wafanya kazi wanaoisimamia nyumba ya BWANA.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 22

Mtazamo 2 Fal. 22:9 katika mazingira