18 Akasema, Mwacheni; mtu awaye yote asiiondoe mifupa yake. Basi wakaiacha mifupa yake, pamoja na mifupa ya yule nabii aliyetoka Samaria.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 23
Mtazamo 2 Fal. 23:18 katika mazingira