2 Fal. 23:26 SUV

26 Walakini BWANA hakuuacha ukali wa ghadhabu yake nyingi, ambayo kwayo hasira yake iliwaka juu ya Yuda, kwa sababu ya machukizo yote ambayo Manase amemchukiza.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 23

Mtazamo 2 Fal. 23:26 katika mazingira