2 Fal. 23:27 SUV

27 BWANA akasema Nitawahamisha Yuda pia mbali nami, kama nilivyowahamisha Israeli, nami nitautupa mji huu niliouchagua, naam, Yerusalemu, na nyumba ile niliyoinena, Jina langu litakuwa humo.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 23

Mtazamo 2 Fal. 23:27 katika mazingira