31 Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala; akatawala miezi mitatu katika Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Hamutali binti Yeremia wa Libna.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 23
Mtazamo 2 Fal. 23:31 katika mazingira