33 Naye Farao-neko akamfunga huko Ribla, katika nchi ya Hamathi, ili asitawale huko Yerusalemu. Akaitoza nchi kodi talanta mia za fedha na talanta ya dhahabu.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 23
Mtazamo 2 Fal. 23:33 katika mazingira