2 Fal. 23:34 SUV

34 Farao-neko akamfanya Eliakimu mwana wa Yosia awe mfalme mahali pa Yosia babaye, akambadilisha jina lake kuwa Yehoyakimu, lakini akamwondoa Yehoahazi; akaenda naye Misri, naye akafa huko.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 23

Mtazamo 2 Fal. 23:34 katika mazingira