9 Walakini hao makuhani wa mahali pa juu hawakupanda madhabahuni kwa BWANA katika Yerusalemu, bali wakala mikate isiyo na chachu katikati ya ndugu zao.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 23
Mtazamo 2 Fal. 23:9 katika mazingira