13 Akatoa huko hazina zote za nyumba ya BWANA, na hazina za nyumba ya mfalme, akavikata-kata vyombo vyote vya dhahabu ambavyo Sulemani, mfalme wa Israeli, alivifanya katika hekalu la BWANA, kama BWANA alivyosema.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 24
Mtazamo 2 Fal. 24:13 katika mazingira