2 Fal. 24:14 SUV

14 Akawachukua mateka watu wa Yerusalemu wote pia, na wakuu wote, na mashujaa wote, watu elfu kumi; na mafundi wote, na wafua chuma wote; hapana mtu aliyebaki, ila waliokuwa wanyonge wa watu wa nchi.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 24

Mtazamo 2 Fal. 24:14 katika mazingira