15 Akamchukua Yekonia mpaka Babeli; na mama yake mfalme, na wake zake mfalme, na maakida wake, na wakuu wa nchi, aliwachukua mateka toka Yerusalemu mpaka Babeli.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 24
Mtazamo 2 Fal. 24:15 katika mazingira