2 Fal. 24:16 SUV

16 Na mashujaa wote, watu elfu saba, na mafundi na wafua chuma elfu moja, wote pia wenye nguvu, tayari kwa vita, hao wote mfalme wa Babeli aliwachukua mateka mpaka Babeli.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 24

Mtazamo 2 Fal. 24:16 katika mazingira