2 Fal. 24:17 SUV

17 Mfalme wa Babeli akamtawaza Matania, ndugu ya baba yake, awe mfalme badala yake, akalibadili jina lake, akamwita Sedekia.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 24

Mtazamo 2 Fal. 24:17 katika mazingira